Wadau wa JF, Hodi humu ndani!!!!
Nimemalizia kuzisoma sheria za JF, naamini tutashirikana vizuri katika mijadala na hoja mbalimbali ndani ya JF.
Ni mimi,
IL Gambino.
ni muda mrefu nafuatilia hoja za member wa jf ,nimeshawishika sana kwani ni za kujenga watu kifikra na namna mbalimbali katika jamii.
Therefore i humbly asking for a membership in ideas and...
tupo pamoja ila tu ubize nashindwa kiasi kwamba nilishindwa kuchangia chochote ila niseme tu michango yenu michache ya maoni imefaa wengi akiwepo mimi asanteni sana. Kamvua kanakoendelea hapo nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.