Wana Jamvi hodi humu ndani

KXY

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
880
327
[h=2]Habari zenu wenyeji?
Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu uliishia upande ule wa 'guests' na kwa upande huu wa 'members' nahitaji kushikwa mkono, natarajia kujifunza mengi na kuchangia kadri upeo wangu utavyoruhusu.

Kwa wenyeji nategemea kukutana nanyi kwenye mitaa hii zaidi Jukwaa la Siasa, Jamii Intelligence na Tech, Gadgets & Science Forum.[/h]
Asanteni,
KXY.
 
Habari zenu wenyeji?
Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu uliishia upande ule wa 'guests' na kwa upande huu wa 'members' nahitaji kushikwa mkono, natarajia kujifunza mengi na kuchangia kadri upeo wangu utavyoruhusu.

Kwa wenyeji nategemea kukutana nanyi kwenye mitaa hii zaidi Jukwaa la Siasa, Jamii Intelligence na Tech, Gadgets & Science Forum.

Asanteni,
KXY.

karibu sana. Njoo tujenge hoja
 
  • Thanks
Reactions: KXY

Similar Discussions

Back
Top Bottom