Hello waungwaba na wafuaji wa mbongo, nimeamua kuingia katika kilinge hiki baada ya muda mrefu kuwa mfuatiliaji wa fora kama guest(mgeni). Nikasukumwa na ile dhana isemayo "Ukitaka Kujua Uhondo wa...
wakuu mwnenu nimejiunga leo baada ya kujivua gamba kule kwenye kitabu cha masura ya watu. naomba na mimi jamii mnipokee niwe mwenzenu. thanks in advance!
Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikitumika kuua wale wote wenye mitizamo tofauti na Watawala wa Dunia. Nimeamua kuongoka naombeni Mniombee ili Badala ya Kutumika Kutoa Uhai wa Viumbo visivyo na Hatia basi...
Wakubwa,
uKITAKA kujua uhondo wa ngoma, ni uingie ucheze.
Nimependezwa sana na jukwaa lenu, naomba ukaribisho wenu!
Nilikuwa nasoma hoja zenu motomoto, leo nimeamua kujitosa moja kwa moja...
Habari zenu wenyeji?
Naamini si vyema kuingia kwenye mji wa watu bila hodi na JF ni 'home' of Great Thinkers nami nimeona ni vyema kuingia kwa hodi. Japo si mgeni sana lakini wenyeji wangu...
nimekua nikisoma na kufurahia na kujifunza mengi toka kwenu wana jf..kawaida mi ni mvivu sana kujiunga na mitandao ya jamii ila nyie mmenishawishi,big up n pamoja tulisongeshe...lunch njema hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.