ScreenMaster
Member
- Nov 26, 2011
- 12
- 4
Wakubwa,
uKITAKA kujua uhondo wa ngoma, ni uingie ucheze.
Nimependezwa sana na jukwaa lenu, naomba ukaribisho wenu!
Nilikuwa nasoma hoja zenu motomoto, leo nimeamua kujitosa moja kwa moja!
Mnanikaribisha?