assalam aleykummmm

assalam aleykummmm

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Naomba kikombe cha kahawa maana natoka mbali mnoo. Lakini kabla ya yote kwanza ningependa kuuliza, vipi twaruhusiwa kupita na viatu humu?
 
Heading ya habari yako ni ya kidini zaidi, na humu hatujaja kutangaza nini siwezi kukukaribisha mpaka ubadilishe heading yako
 
angalia Usiwe kama Kibonde. Karibu lakini
 
Heading yako inaonesha kama vile una undugu na MS vile
Karibu sana
 
Heading ya habari yako ni ya kidini zaidi, na humu hatujaja kutangaza nini siwezi kukukaribisha mpaka ubadilishe heading yako

Heri wenye rehma, Maana hao watapata rehma. Heri wenye moyo safi, Maana hao watamwona Mungu. Heri wapatanishi, Maana hao wataitwa wana wa mungu. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki, Maana ufalme wa mbinguni ni wao. (Mathayo 5, 7-10).
 
Naomba kikombe cha kahawa maana natoka mbali mnoo. Lakini kabla ya yote kwanza ningependa kuuliza, vipi twaruhusiwa kupita na viatu humu?

Aleykum Salaam. Karibu sana mgeni. Ingia tu wala usivue viatu. Jisikie upo nyumbani. ngoja niingie jikoni nikakuandalie kahawa
 
Back
Top Bottom