Ye soya ndani ya mjengo

Ye soya ndani ya mjengo

Ye Soya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
237
Reaction score
249
Wanajamii nadhani mko tayari kunikumbatia kama ishara ya kunipokea, natanguliza shukurani...
 
kwa anayeulizia jinsia nadhani picha/avatar na jina vinajieleza....naandika nikiwa huku korea....nawamiss watz
 
chatu dume jina lko linatisha...umeshameza wangapi???????
 
Karibu JF, Karibu mkumbatio wangu na mabusu teletele, nakukaribisha kwa mashamsham na mabashasha.
 
Back
Top Bottom