Hodii, hodii !!!

Hodii, hodii !!!

Dangache

New Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Wakubwa "shikamooni", wenzangu "mambo?" na wadogo zangu "hapo vipi?" naombeni ridhaa yenu nami nijongee hapa jamvini nipate uweledi.
 
Asanteni wandugu.
Mimi ni mmojawapo nataka kuelimishwa kuhusu huu mzozo uliokuwa ukiendelea bungeni kuhusu katiba, hivi ni nini hasa kinachozozaniwa kiasi cha wabunge wengine kuamua kutoka nje?nawasilisha!
 
Pitia jukwaa la siasa utaelewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom