The Undertaker
Member
- Nov 26, 2011
- 23
- 13
Jaman nimekuja kuprovide funeral service kwa wana Jf na hasahasa Magamba. Cost zang zipo chini sana. Hope mtanipa ushirikiano wa kutosha.
Where is ur morgue?
Wale tuna wapoison watakufa taratibuuuu
I am very concerned na njia hii unayoichagua huku ukijua fika kuwa wao ni wazoefu kwa njia hiyo!