Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ninaimani nitajifunza na kupata pia kuchangia mengi iwezekanavyo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WOnderful posts I have been enjoying alot your comments!!Keep it up.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naombeni mnipokee tafadhali
0 Reactions
15 Replies
1K Views
jamani mimi prakatatumba nimeingia kwa I.D nyingine baada ya kupigwa ban mpaka 29 October 2013 kwa kosa la kumtukana moderator PAW mara baada ya PAW kuifuta thread iliyotumwa na mmoja wa member...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari huku wakuu ,nimekuwa msomaji kwa muda hapa nimeamua kuwa member .tukaribishane wakuu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Can I get a warm welcome! It feels good to be here, first day and I have learnt a lot. Why didn't I join earlier? Well, better late than never anyway. Cheers ;)
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Namshangaa sana wzr wa mambo ya nchi za nje bernad membe ss ha2na ubavu wa kuikataa msaada kama bdo 2nakubli kujengewa vyoo na kupokea chandarua,ha2wezi kuikataa msaada,viongozi we2 wakiugua...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi jamani mgeni humu kwenye Jamii Forum. Naomba jamani mnipokee kwenye jukwaa lenu ndugu zangu. Kwa pamoja Jamii Forum itasonga mbele
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani nimechoka kupiga chabo na nimeamua kujiunga humu ndani Nimesoma sana humu mnazungumzia magamba na magandwa. Kama magreat thinker wenye hoja zilizonona naombeni mwongozo wenu, niwe gamba au...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
hellow! hellow! anybody home?
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Hodi mpaka ndani wanajamii
0 Reactions
6 Replies
948 Views
Hey members, surely hii JF inatisha, nimejifunza mengi within a week ambayo nimejiunga hapa...tuendeleze gurudumu hili kwa kubishana kihoja na kuelimishana. NB: Msamiati _ "Kameruni" umetawala...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninatumia nafasi hii kujitambulisha kwenu. Asanten kwa kunikaribsha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani wazima! Mpo? Nawasalim naomba mnikaribishe! 124 hapa. Nimewakuta bila shaka
0 Reactions
7 Replies
924 Views
Haki ya Mungu napiga hodi tena kwa nguvu...ba mods,ba nkima,ba ngosha,ba miyala,mwapanga?molemola?monile?subay?amang'ana yawe?mulimu? Ukivukwa na nguo sharti uchutame ....Hodiiiiii wanajamvi.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawasalim wote JF members, Mwali hapa, na mimi nimeona nijiunge nianze kuchangia sasa... Naomba mnikaribishe sababu nina uoga kidogo kuongea kama sisaidiwi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi hodi jamani, baada ya kuamua kuacha rasmi kuwa mtazamaji au guest jamani naomba mnipokee kwa mikono yote miwili ili nami nijisikie nipo nyumbani! Kabla ya kujiunga itifaki imezingatiwa kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naitwa 'Bustani', ninayo furaha kujiunga rasmi jukwaani baada ya miaka mitano ya kuangalia yanayojiri kutokea mbali kidogo. Tuko pamoja katika ujenzi wa Tanzania mpya!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kusema kweli jamiiforums iko juu kimtandao. Najilauimu kuchelewa ku-be-adapted nao. Lakini waswahili husema, 'Heri nusu ya shari kuliko shari kamili.' Tuko pamoja waungwani, kwa kasi mpya, na...
0 Reactions
7 Replies
991 Views
hodi hodi waungwana.........naomba msamaha.........invisible nisamehe
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom