Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Umeme wa Tanesco haupiti ktk kanisa la FGBF chini ya kiongozi wake Ask. Kakobe. Kama gazeti moja lilivyoripoti leo kwa kichwa 'KAKOBE AFANYA KWELI' :Ule umeme wa 132kv uliolazimishwa kupita...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba kuwa mmoja wenu asante
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisoma taarifa zenu mbali mbali kwa kutumia phone.Sasa nimejua jinsi ya kutuma thread mbalimbali,kuchangia,kupm.nk.Nikosea namba mnikosoe kwani naamini nyie ni watu muhimu kwangu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mgeni mim sio mgeni kihivyo sema tu nilikua siku zote nachungulia leo nimeamua na mim nijitose ndani. Heshima kwenu waheshimiwa. Kwa pamoja tulisogeze mbele gurudumu la Tanzania lifke kule...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawapenda woooote humu ndani!Zaidi sana kwa wote wenye kuitakia mema cdm! Nimekuwa msomaji mzoefu wa jamii forum ila ckuwahi kujiunga. Nimeamua kujiunga rasmi ijumaa ya last week so hope...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hodi wakubwa zangu. Nimejiunga rasmi leo. Nawasalimuni wote. Asante
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nipeni nafasi katika jukwaa hili la kijamii ambalo limetupa mahala pa kusema dukuduku zetu kwa ustawi wa Mtu,kaya,jamii hadi Taifa. nipeni nafasi ya mbele pale meza kuu ya jukwaa hili tukufu...
0 Reactions
6 Replies
966 Views
jamani mgeni naingia naomba mnipokee
0 Reactions
6 Replies
929 Views
jamiiforums inafunika
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hodi wana jamii mko sawa, nikaribisheni ndani ya jamvi.
0 Reactions
8 Replies
793 Views
Hi
Niaje wandugu
0 Reactions
15 Replies
1K Views
mi mgeni naombeni mnikaribishe,pokeeni na mikungu ya ndiz toka tukuyu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mkubwa mkubwa tu jamani! mie mgeni humu jamvini na naombeni ukaribisho wenu...
0 Reactions
9 Replies
887 Views
Kwa heshima na taadhima naomba kuungana nayi waungwana wajenga nchi. Namini kuwepo kwangu hapa kutaninufaisha katika maisha yangu binafsi lakini pia kitaaluma. Nimekuwepo nikichungulia kama mgeni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
nikaribsheni basi mbona mmenuna
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Za asubuhi wakubwa naomba pokelewa niko pande za kigoma karibuni kigoma
0 Reactions
5 Replies
1K Views
viongozi mavampaya wananchi mazombi
0 Reactions
9 Replies
898 Views
Hello jf.. tuwe pamoja ili tuteketeze UKIMWI.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi hodi naingia habari njema nawaletea post kuchangia ni vema nikapokewa
0 Reactions
5 Replies
814 Views
Nipokeeni tuelimishane pamoja
0 Reactions
10 Replies
899 Views
Back
Top Bottom