Hodi mpaka sebuleni

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Haki ya Mungu napiga hodi tena kwa nguvu...ba mods,ba nkima,ba ngosha,ba miyala,mwapanga?molemola?monile?subay?amang'ana yawe?mulimu?

Ukivukwa na nguo sharti uchutame ....Hodiiiiii wanajamvi.
 
Jamvi letu hili na lidumu milele,niwatake radhi wana Jf wote kwa kutokutoa salaamu ya kimember namna hii kutokana na sababu lukuki,nawaombeni tuendelee kuwa pamoja katika hoja,vitimbi,mikasa,mipasho (habari) na katika harakati tofauti ikiwa ni kutengeneza umoja,kuamsha hamasa na kujenga fikra kama ma great thinkers.

Nawashukuru sana...much regards to you all,much love!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom