Hodi Jukwaani!

Hodi Jukwaani!

Bustani

New Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa 'Bustani', ninayo furaha kujiunga rasmi jukwaani baada ya miaka mitano ya kuangalia yanayojiri kutokea mbali kidogo. Tuko pamoja katika ujenzi wa Tanzania mpya!
 
Karibu sana Bustani jamvini, unatumia kinywaji gani? Kuna vinywaji tele kwa ajili ya wageni.
 
Naitwa 'Bustani', ninayo furaha kujiunga rasmi jukwaani baada ya miaka mitano ya kuangalia yanayojiri kutokea mbali kidogo. Tuko pamoja katika ujenzi wa Tanzania mpya!
Ni uamuzi sahihi,mbona ulichelewa?
 
Na mpenzi wangu ananisumbuwa.

Bustani njema...

Gaijin, naomba malizia.

Bustani, "Jannat", "Garden", "Pepo". Uwe kama jina lako, unukie kwa maasumini, mawaridi na vilua. Karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom