Hodi Hodi

Hodi Hodi

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Nawasalim wote JF members,
Mwali hapa, na mimi nimeona nijiunge nianze kuchangia sasa...
Naomba mnikaribishe sababu nina uoga kidogo kuongea kama sisaidiwi...
 
Mwali, mwali, mwali, mwali...... Karibu sana jamvini!
 
Karibu Saana Mwali... Nimefurahi kua umefika hapa... All the best Jamvini.
 
Nawasalim wote JF members,
Mwali hapa, na mimi nimeona nijiunge nianze kuchangia sasa...
Naomba mnikaribishe sababu nina uoga kidogo kuongea kama sisaidiwi...
Mwali karibu sana na wala usijisikie uoga maana unaweza jikuta kila siku unaogopa,jiamini na utaaminiwa hapa JF
 
Mwali karibu sana na wala usijisikie uoga maana unaweza jikuta kila siku unaogopa,jiamini na utaaminiwa hapa JF
Asante kwa Ushahuri kaka Joseph, nitaufanyia kazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom