NB:
Msamiati _ "Kameruni" umetawala sana...lol !
Sawa mkuu.Hey members, surely hii JF inatisha, nimejifunza mengi within a week ambayo nimejiunga hapa...tuendeleze gurudumu hili kwa kubishana kihoja na kuelimishana.
NB:
Msamiati _ "Kameruni" umetawala sana...lol !