kabla kukukaribisha jibu yafuatayo... Jina lako lina maana yoyote?... We una jinsia gani? Maana ktna watu huwa wanatafuta wachumba na wengine huwa wanatafuta wa kuzaa nao... Majibu ndo karibu yakoNaombeni mnipokee tafadhali
Wana naomben mapokeo
Karibu sana Gwandu, pumzika hapo kwenye kiti mie naenda mtafuta Katavi aje akupatie chochote kitu. Jisikie upo nyumbani G'
Karibu JF!
Naombeni mnipokee tafadhali