Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi jamvini binti white naingia,Jamii forum nisikia,kila mtu kuisifia,wazee na vijana pia,Maarifa kujitakia,ndo maana nimeingia,Sitaki kubaki kama mkia,upumbafu nimeuchokea,Nimeingia jamvini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mie nawasalimia, nimefurahi nimeingia humu niwe nanyi. Ndio mie kama jina langu Mbarikiwe
1 Reactions
17 Replies
1K Views
wanajamvi napiga hodi jamvini,
0 Reactions
4 Replies
556 Views
Wana jamii naomba mnipokee katika jamvi makini kwa ajili ya kuendesha kwa umakini JAMVI lenye hekima Pamoja. Mungu awe nanyi nyote sasa na hata milele.
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Hello nafurahi kuwa mmoja wenu
0 Reactions
6 Replies
750 Views
[SIZE=4]Nataka Mnikaribishe kwa ukarimu bashasha na mbwe mbwe zote..sawa sawa??[/SIZE]
0 Reactions
7 Replies
835 Views
mimi ni mgeni humu...... JF ni kiboko..
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Nimefurahi kuwa member wa hii forum kwa kuwa inanifundisha na kunihabarisha mambo yahusuyo Taifa letu la Tanzania. Inapendeza kuona jinsi gani watanzania wana uchungu na nchi yao licha ya toufauti...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Hello to you all JF members..............
1 Reactions
6 Replies
975 Views
Wakuu ambao ni Great Thinker naomba kujiunga nanyi. Nimekuwa mgeni na msomaji wa makala mbalimbali humu ila naomba sasa kujiunga rasmi. Naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi humu kwa muda mrefu. Sasa nimeona nijiunge rasmi ili niweze pia kuwa mchangiaji wa mada mbalimbali. Hodi wana jf!!
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Naitwa Chipolopolo!Wenyeji wangu.Kwa heshima na taadhima.Naomba kukaribishwa japo katika viunga vya nyumba zenu tu itanitosha.Sebuleni au kwingine itakuwa ziada!Nimefurahishwa na uchangamfu...
1 Reactions
13 Replies
935 Views
Hello Forums memberz.,!!!
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Wadau mim ni mgeni humu ndani... Ilaa naamin mchango wangu na mawazo yango yatakuwa yanaitajika kuimarisha ukurasa huu na wanajamiiforum wote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana wa Jf! Nimevutiwa na mada zenu na kuamua kujiunga nanyi, tafadhali mni pokee!!!
0 Reactions
3 Replies
994 Views
Nabisha Hodi kwa kishindo Jamvini ...Napenda kuchukua nafasi hii kuushukuru uongozi wa JF kwa kunipokea .Naahidi kufuata kanuni na taratibu ili kulisukuma gurudumu hili
0 Reactions
7 Replies
855 Views
Wazee nimkuja kwenye site hii, ninapenda sana mijadala yenu, ila weningine wanachosha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawasalimia katika jina la bwana!it is my first time kuwa humu ndani and i'm happy kuwa umu ndani!...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi hodi naingia, Humu ndani nikishangilia, Natumai mtanipokea, Na sheria nielezea, Nimechoka kuchungulia, Bila chochote kuchangia. Sasa natulia, Kukaribishwa nasubiria, Nisije nikachangia...
0 Reactions
7 Replies
916 Views
Hodi humu ndani wenyeji...Mimi nina kamba mguuni naomba mnipokee kwa moyo mmoja.
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Back
Top Bottom