J JS Farms Member Oct 17, 2011 71 131 Feb 24, 2012 #1 wana jamii naomba mnikaribishe kwenye jamii yenu,mnivumilie ninapokosea na vilevile ninapokosea naomba mnikosoe,kila la kheri wanajamii.
wana jamii naomba mnikaribishe kwenye jamii yenu,mnivumilie ninapokosea na vilevile ninapokosea naomba mnikosoe,kila la kheri wanajamii.
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Feb 24, 2012 #3 Asante na wewe pia. Na karibu sana JF
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Feb 25, 2012 #4 Daraja la miti said: wana jamii naomba mnikaribishe kwenye jamii yenu,mnivumilie ninapokosea na vilevile ninapokosea naomba mnikosoe,kila la kheri wanajamii. Click to expand... Pitia sheria za jf kwa umakini. Karibu sana.
Daraja la miti said: wana jamii naomba mnikaribishe kwenye jamii yenu,mnivumilie ninapokosea na vilevile ninapokosea naomba mnikosoe,kila la kheri wanajamii. Click to expand... Pitia sheria za jf kwa umakini. Karibu sana.
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Feb 27, 2012 #6 Karibu sana mkuu ila zingatia taratibu na kanuni za jukwaa