Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Naitwa Chipolopolo!Wenyeji wangu.Kwa heshima na taadhima.Naomba kukaribishwa japo katika viunga vya nyumba zenu tu itanitosha.Sebuleni au kwingine itakuwa ziada!Nimefurahishwa na uchangamfu wenu.Naahidi kuhamishia makao mjini hapa...!