hodi jamvini????

maege

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
309
73
nimekuja kujifunza meng nisiyoyajua na kufundisha machache niyajuayo. Natarajia kukaribishwa vizuri.
 
karibu mkuu ila kabla hujaja kutujuza hayo uliyonayo na pia kujua maujanja ya huku hebu kaa kitako uzipitie kwanza sheria za hapa sawa mkuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom