Naombeni mapokezi

Naombeni mapokezi

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,709
Reaction score
23,146
Hodi hodi jamvini binti white naingia,Jamii forum nisikia,kila mtu kuisifia,wazee na vijana pia,Maarifa kujitakia,ndo maana nimeingia,Sitaki kubaki kama mkia,upumbafu nimeuchokea,Nimeingia jamvini kujiachia,Hata kichwa nikifikia,najua sitoumia.
TEHE TEHE NIMELAZIMISHA VINA HADI NAJICHEKA.Naombeni ushirikiano wenu.
 
Billie eh Billie Billie Billie karibu nakumbuka masongi ya Kanda Bongoman.
 
Hodi hodi jamvini binti white naingia,Jamii forum nisikia,kila mtu kuisifia,wazee na vijana pia,Maarifa kujitakia,ndo maana nimeingia,Sitaki kubaki kama mkia,upumbafu nimeuchokea,Nimeingia jamvini kujiachia,Hata kichwa nikifikia,najua sitoumia.
TEHE TEHE NIMELAZIMISHA VINA HADI NAJICHEKA.Naombeni ushirikiano wenu.

Karibu Binti White una undugu na dogo aliyechana mistari ya bongo fleva kwenye booklet?
 
karibu binti white.
Pia usisahau kujiunga na bunge letu la wana jf.Kuna mh spika pale nimemkubali.
 
Jamani samahani nimepost thread vibaya kwa kuwa nimetumia Pc ya Billie ndiye aliyenipa idea ya kujoin humu but PC yake aliweka remember pasword ndiyo maana imetokea contradiction samahani sana ID yangu ndo hii jaman(NI UGEN NDO UNANISUMBUA)
 
Karibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom