Wana JF?

Wana JF?

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,627
Mie nawasalimia, nimefurahi nimeingia humu niwe nanyi.

Ndio mie kama jina langu

Mbarikiwe
 
karibu sana maana humu beijini mpo wachache kweli mimi naitwa ndetichia ni kijana mcheshi napendelea jukwaa la MK na sport zaidi..
 
karibu sana maana humu beijini mpo wachache kweli mimi naitwa ndetichia ni kijana mcheshi napendelea jukwaa la MK na sport zaidi..

shukurani

humu beijini ndo umemaanisha nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom