Wapendwa wana JF Morogoro
Salaam, niko mji kasoro bahari mpaka J2 mchana. Napenda kukutana na members wote watakokuwa tayari.
Kama hauko Morogoro haikuhusu.
Natanguliza shukurani.
Wasalaam...
Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya...
habari zenu ma bibi na mabwana...kwa mda mrefu nimekua nikijifunza vitu vingi kupitia humu sasa nimeamua kujiunga rasmi naitaji ushirikiano wenu,pamoja!
thanks for this community
we are painting dealers in China.
now we begin our sales on ebay. with hand made scroll paintings sized 170cm*70cm and 200cm*95cm. catalogue updating 70+!
In this...
Kama mnionavyo kwenye picha, mie ni Father of All hasa wale wanaoruka. Naingia ukumbini kwa mara ya kwanza baada ya kusimuliwa uzuri wa uwanja huu. Wanangu napiga hodi hivyo nikaribisheni.
hodi wanajamvi! ndugu zangu mi ni mgeni kidogo hapa jamvini ila kuna mwenzangu 1 ofisini alinitonya namna ambavyo JF imekuwa ni chanzo kikubwa ktk kushep mambo mbalimbali yamzungukayo,nimevutiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.