Hello

Hello

Jodake

New Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nimefurahi kuwa member wa hii forum kwa kuwa inanifundisha na kunihabarisha mambo yahusuyo Taifa letu la Tanzania. Inapendeza kuona jinsi gani watanzania wana uchungu na nchi yao licha ya toufauti za vyama tulizonazo. Inapotokea mgongano wa mawazo, hapo ndipo mawazo chanya yanazaliwa. Tuwe na uchungu na Taifa hili, watanzania wengi wanateseka kimaisha. Mawazo yote yawe ya kujenga na sio kubomoa. Nawatakia kwaresma njema.
 
karibu sana, tunategemea tutapata mambo mengi toka kwako.
 
Back
Top Bottom