Hellow everyone!

Hellow everyone!

shkamooni, kaka na dada wa Jamiiforums.
Mimi member mpya JF nipokeeni, nawapenda woote.
Karibu sana, kama ni msichana kuwa makini na wanaume wa humu!

Wengine wakipita na wewe watakuja kukuanzishia nyuzi na kuweka tupu zako humu (imeshatokea kipindi cha nyuma)

Wastaarabu wapo pia, ila kuwa na tahadhari!

giphy.gif
 
View attachment 3579342
umetumia miguvu mingi mno kushauri, wakati unawezakuta huyu ni mgeni mwenyeji, na hii ni backup ID yake ya sita.

Kanzu mpya, imamu wa zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom