Mzee wa Zamani
Member
- May 6, 2026
- 17
- 33
Habari zenu, naomba mnipokee. Natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
Karibu JF Mzee wa ZamaniHabari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
Mzee wa sasa anakuja lini?Habari zenu.. naomba mnipokee.... natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo?samahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ?
😆😆😆😆😆 hata sijui nacheka nini ila hiyo O imejiongeza yenyeweSamahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo?
Asante sana mkuuKa
Karibu JF Mzee wa Zamani
hahahaha! hapana....Samahani wewe una undugu na yule mchekeshaji Bambo?
mzee wa sasa yupo ila anajiita GEN Z wa bei ya jioni...Mzee wa sasa anakuja lini?
hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisasamahano wew ndo baba ake Binti wa zamani ?
kwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo.hahaha! ni mimi lakini binti mwenyewe hanitaki kabisa
Unanizingiziakwa uandishi huu,unaonekana si mgeni humu na ni kijana wa hovyo.
Nieleze faida yake kwanza....Una laki hapo ya haraka ya kukusaidia kuwa Jf-Expert Member ndani ya muda mfupi?
Mambo ya kujiweka kidole puani halafu una lamba The IcebreakerUna madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?