Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Samahan wana jf natanguliza shukran mi mgen na mtandao huu nahitaji kujua matumiz yake mana napata shida kidogo Nb:jokes sio nzuri
1 Reactions
101 Replies
7K Views
Habari za wakati huu. Wakuu, nimefungua account ya Jamiiforums hivi karibuni. Nimeona ni vyema nijitambulishe kwenu. Mimi ni mtumiaji mzuri wa JamiiForums kwa takribani miaka mitatu sasa, Lakini...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
I'm happy to be here, I'm new visitor
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu sio vibaya mkinikaribisha
0 Reactions
4 Replies
708 Views
Ninge penda kufahamishwa kwa wapenzi wenzangu wa series ni action series gani ambayo isha toka ya mwaka huu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari jamani, am a new member, Naomba usajili
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wana jukwaa hamjambo ? Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
3 Reactions
332 Replies
16K Views
Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi. Naombeni ushirikiano...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu mm mgeni.
0 Reactions
12 Replies
915 Views
new jf member........
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wana jamii forum
0 Reactions
25 Replies
2K Views
mimi ni mgeni wenu..! naomba tushirikiane kimawazo..
1 Reactions
5 Replies
763 Views
New jf member
0 Reactions
4 Replies
579 Views
Hodi waungwana! Naomba mnipokee Kwa majina naitwa director hanscana
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nawaamkia kwa heshima zote wakubwa kwa wadogo,Kijana na Mzee.Nina Kamba mguuni.Tafadhali naomba mnipokee....
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Hello guys
1 Reactions
9 Replies
932 Views
Am a New member
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Hello call me Tonybakora am a new comer here......
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mgeni mie jamani jinsia yangu KE (mwanamke) nawapenda
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom