Naomba Ukaribisho Wenu Wakuu

Mitch McDeere

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
303
628
Habari za wakati huu.
Wakuu, nimefungua account ya Jamiiforums hivi karibuni. Nimeona ni vyema nijitambulishe kwenu.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa JamiiForums kwa takribani miaka mitatu sasa, Lakini nilikuwa bado sijajiunga rasmi.
Naomba ushirikiano wenu, kwa upande wangu nitatoa ushirikiano pale inapowezekana.
Ahsante sana!
 
16908731_188045901682454_9171025082825310208_n.jpg

Jukwaa lenu silinajulikana
 
Back
Top Bottom