Mi mgeni humu na huu mtandao nimeupenda naomba utaratibu tuende sawa

shamp

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
225
215
Samahan wana jf natanguliza shukran mi mgen na mtandao huu nahitaji kujua matumiz yake mana napata shida kidogo

Nb:jokes sio nzuri
 
Unataka Utaratibu gani ndugu?

Huku kuna watu wenye akili nyingi sana hivyo hivyo kuna vilaza wa kufa mtu...... Fanya kuwaelewa wote.

Pia, jaribu kuwa na moyo wa kuvumilia na kupuuzia humu. Unaweza kupewa jibu la aina yoyote ukapaniki kupita maelezo...

Waheshimu watu wote na maisha yatasonga...

Karibu sana.
 
Kwa kweli huku kama una roho ndogo unaweza kufa, huku unaulizwa hadi picha ya "harufu" ili wahakikishe unasema kweli,
Huku inabidi uwe mvumilivu la sivyo utakuwa unakasirika mwenyewe ovyo na kubarikiwa na bans za mods.
Karibu kiwanjani
Kumbe yataka moyo
 
Mmmh kumbe ndo mana naona wengine wanajibiwa kimkatomkato
 
Samahan wana jf natanguliza shukran mi mgen na mtandao huu nahitaji kujua matumiz yake mana napata shida kidogo

Nb:jokes sio nzuri
Huku mkuu kwanza kila mtu ni mkuu, Usipomuita mtu mkuu utaitwa mpenda makuu.

Kingine penda uongo, pia kujisifia. Huku hakuna masikini wala hatujui bei ya dagaa, wala soko lake liko wapi? Ukiwa huku usizungumzie daladala, bodaboda achilia mbali vigari vidogo. mkuu Tuko pamoja?

Huku kupanda ndege ni jambo la kawaida sana, kuibiwa kwa njia ya mtandao tumilioni kadhaa ndio majanga yetu. Huwa hatuibiwi tecno, hapa tunaibiwa Iphone, samasung za bei kubwa na vito vya dhahabu. tecno yako naomba uibatize jina kuanzia leo uiite iphone seven.

Watu wote humu wana majumba yao, usitoe mifano ya mpangaji mwenzako, sema jirani yangu inatosha.

wanawake wa humu wooote ni warembo sana,...mengine utajifunza taratiiibu...

UMENIFAHAMU SANA??
 
Kwa kweli huku kama una roho ndogo unaweza kufa, huku unaulizwa hadi picha ya "harufu" ili wahakikishe unasema kweli,
Huku inabidi uwe mvumilivu la sivyo utakuwa unakasirika mwenyewe ovyo na kubarikiwa na bans za mods.
Karibu kiwanjani
Nakuona unavyopataga taabu na wasema hovyo...Namaste
 
Huku mkuu kwanza kila mtu ni mkuu, Usipomuita mtu mkuu utaitwa mpenda makuu.

Kingine penda uongo, pia kujisifia. Huku hakuna masikini wala hatujui bei ya dagaa, wala soko lake liko wapi? Ukiwa huku usizungumzie daladala, bodaboda achilia mbali vigari vidogo. mkuu Tuko pamoja?

Huku kupanda ndege ni jambo la kawaida sana, kuibiwa kwa njia ya mtandao tumilioni kadhaa ndio majanga yetu. Huwa hatuibiwi tecno, hapa tunaibiwa Iphone, samasung za bei kubwa na vito vya dhahabu. tecno yako naomba uibatize jina kuanzia leo uiite iphone seven.

Watu wote humu wana majumba yao, usitoe mifano ya mpangaji mwenzako, sema jirani yangu inatosha.

wanawake wa humu wooote ni warembo sana,...mengine utajifunza taratiiibu...

UMENIFAHAMU SANA??
Umeua aisee
 
Sawa mkuu kuanzia Leo hii tecno inaitwa IPhone 7 alafu kesho ninaziara ya kwenda ugiliki ha haaaa umefanya nicheke sana wee ndo umenipa somo
[HASHTAG]#mkuu[/HASHTAG]
 
Huku mkuu kwanza kila mtu ni mkuu, Usipomuita mtu mkuu utaitwa mpenda makuu.

Kingine penda uongo, pia kujisifia. Huku hakuna masikini wala hatujui bei ya dagaa, wala soko lake liko wapi? Ukiwa huku usizungumzie daladala, bodaboda achilia mbali vigari vidogo. mkuu Tuko pamoja?

Huku kupanda ndege ni jambo la kawaida sana, kuibiwa kwa njia ya mtandao tumilioni kadhaa ndio majanga yetu. Huwa hatuibiwi tecno, hapa tunaibiwa Iphone, samasung za bei kubwa na vito vya dhahabu. tecno yako naomba uibatize jina kuanzia leo uiite iphone seven.

Watu wote humu wana majumba yao, usitoe mifano ya mpangaji mwenzako, sema jirani yangu inatosha.

wanawake wa humu wooote ni warembo sana,...mengine utajifunza taratiiibu...

UMENIFAHAMU SANA??
 
Humu watu wengi hujidai wasomi,sasa kama wewe ni mwenzangu na mie basi jiendae kuona kauli za dharau kana kwamba huona faida yeyote hapa duniani.
Na hata kama unaweza ukawa unamlisha mtu nyumbani ambaye msomi kazi hana.

Huku waliyoishia shule ya msingi wote huonekana vilaza na ni watu wa hali ya chini kabisa.
 
Back
Top Bottom