Hamjambo ?

Umba Tuku

JF-Expert Member
Feb 4, 2017
2,101
1,270
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
 
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Mtu akikufuata pm (private message) mkiongea mazungumzo yenu usilete jukwaani, ni kosa.

Kuleta habari usiyo na uhakika nayo ni kosa.

Kuandika kama upo FB siyo kosa ila utatukera wengi wetu.

Pia tuma picha yako.
 
Back
Top Bottom