Nimo ila nilikuwa sijajitambulisha

Dexta

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
1,941
4,805
Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi.
Naombeni ushirikiano wenu tafadhali.!
 
Back
Top Bottom