Nimekuwa msomaji wa hii forum kwa zaidi ya miaka minne bila kuwa mwanachama.
Leo najiunga rasmi ili nishiriki ktk kutoa na kupokea mawazo na fikra pevu.
Nawaombeni mnipokee wadau.
[emoji120]
Habari me ni mwanachama mpya makazi yangu ni kigamboni mikwambe. Ni furaha kua katika miongoni ya wanachama natumai nitapata ushirikiano wa kutosha
Ahsanteni
Habari zenu...naitwa Kiwike mie mwanachama mpya nimejiunga juzi nakuanza kusoma mambo mbalimbali nimegundua nimepitwa na mambo mengi sana kwa kuchelewa kwangu...JF nilikuwa naichukulia poa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.