Hodi!

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
haya nimekuwa wa kwanza kukukaribisha
niahidi kuwa nitakuwa rafiki yako no.1

hao wengine wa ziada tu..

KARIBU...
 

R Mbuna

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,162
2,000
Njo PM nikupe malekezo zaidi tena ikiwezekana tuma namba yako ya simu ili iwe rahisi usije ukawa unapata BAN bure humu . Maana moderator humu hawataki sport sport/.
 

George Tesha1

Senior Member
Dec 29, 2011
117
225
wao you are most welcome kwenye jukwaa letu hili jisikie uko nyumbani, atakae kukera niambie mama, halafu uje inbox
 

Rhobi1961

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
890
1,000
karibu sana, njoo pm kuna kitu ningependa ukijue kuhusu masharti ya humu usije ukapigwa ban bure na mimi nipo fanya fasta!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom