New Member

Unaomba usajili kwetu??!! Hii ya kuomba members wakusajili imenza lini hapa JF? Au taratibu zimebadilika?
 
Karibu sana kwenye mtandao bora wa kijamii wenye kuelimisha, kuburudisha, kupashana habari mbalimbali ikiwemo utamaduni, siasa, michezo, dini, mahusiano, n.k
Unakaribishwa mno mkuu ( DANDAV )
ila hupaswi kumtusi memba yeyote humu
Hupaswi kumfuata pm ( private message )
pasipo ridhaa ya muhusika.
Changia mada vyema bila kukashifu, kukejeli, kudharau, na kutusi yeyote au aliyetoa mada.
Rushwa na uongo haitakiwi.
Kutongoza hautakiwi.

Na ya mwisho ulipie kodi akaunti yako na V.A.T itakatwa.. Teh teh teh teh ( its a jokes )
 
dili hili:D toa hela ya kiingilio buku kumi,hela ya VAT buku tano,kodi ya kichwa buku kumi,kodi ya matumizi buku tano,kodi ya MB buku kumi,jina buku kumi bila kusahau na tarehe buku kumi ndo utakuwa umesajiliwa...
mengine karibu jf.
 
asnte sana mkuu, noted
 
teh teh.. lol ngoja nicheze na miamala mkuu... thanks anyway
 
dili hili:D toa hela ya kiingilio buku kumi,hela ya VAT buku tano,kodi ya kichwa buku kumi,kodi ya matumizi buku tano,kodi ya MB buku kumi,jina buku kumi bila kusahau na tarehe buku kumi ndo utakuwa umesajiliwa...
mengine karibu jf.
Duuuh mkuu...
Bila shaka upo T.R.A
maana sio kwa kodi hizi za mauwaji.
 
Kweli mwaka 2017 umeanza vyema, sasa mkuu....
Tumbo inahusikaje humu jf...
maswali sitaki alasivyo utamlipia wewe kwanza mpk hapo unafaini ya kuhoji mambo ya kitawala laki ndo faini,halafu na faini ya kuandika hamsin elfu
 
Sawa mkuu...
Nitalipa laki 2 na ya V.A.T kabisa ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom