Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 Feb 7, 2017 #3 Umekuja na dictionary?hatujui kizungu.
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Feb 8, 2017 #4 Picha yako tumeshainasa, sasa unaruhusiwa kwenda jukwaa la siasa
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 22, 2017 Thread starter #8 Numbisa said: Umekuja na dictionary?hatujui kizungu. Click to expand... Niko na kamusi yenye utasadifisha
Numbisa said: Umekuja na dictionary?hatujui kizungu. Click to expand... Niko na kamusi yenye utasadifisha
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 Feb 22, 2017 #9 Aah tumia kiwahili bana muda wa kuangalia kamusi haupo Lukumboy said: Niko na kamusi yenye utasadifisha Click to expand...
Aah tumia kiwahili bana muda wa kuangalia kamusi haupo Lukumboy said: Niko na kamusi yenye utasadifisha Click to expand...
Mustaphagentleman JF-Expert Member Jun 22, 2016 3,953 3,020 Feb 22, 2017 #10 Yoyo yoyo yo wasap its ya Boy Lukumboy all the way from Kimbiji baby Holla
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 22, 2017 Thread starter #11 Numbisa said: Aah tumia kiwahili bana muda wa kuangalia kamusi haupo Click to expand... Nitajitahidi but sehemu penye nitafail kidogo mtanisaidia majamene
Numbisa said: Aah tumia kiwahili bana muda wa kuangalia kamusi haupo Click to expand... Nitajitahidi but sehemu penye nitafail kidogo mtanisaidia majamene
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 22, 2017 Thread starter #12 Mustaphagentleman said: Yoyo yoyo yo wasap its ya Boy Lukumboy all the way from Kimbiji baby Holla Click to expand... Yes man u are welcome, nicely to meet you all Nafurahia kuwa ndanyi wandugu wote
Mustaphagentleman said: Yoyo yoyo yo wasap its ya Boy Lukumboy all the way from Kimbiji baby Holla Click to expand... Yes man u are welcome, nicely to meet you all Nafurahia kuwa ndanyi wandugu wote
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 Feb 22, 2017 #13 Sawa,pia kuna majukwaa ya english only Lukumboy said: Nitajitahidi but sehemu penye nitafail kidogo mtanisaidia majamene Click to expand...
Sawa,pia kuna majukwaa ya english only Lukumboy said: Nitajitahidi but sehemu penye nitafail kidogo mtanisaidia majamene Click to expand...
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,356 38,908 Feb 22, 2017 #14 Upo ukawa au CCM? Kama upo CCM tafadhali sana hatupendi ujinga huku.ishia huko huko.
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 24, 2017 Thread starter #15 Waterloo said: Upo ukawa au CCM? Kama upo CCM tafadhali sana hatupendi ujinga huku.ishia huko huko. Click to expand... Sina chama but ni mchambuzi wa siasa, sifungamani na upande wowote
Waterloo said: Upo ukawa au CCM? Kama upo CCM tafadhali sana hatupendi ujinga huku.ishia huko huko. Click to expand... Sina chama but ni mchambuzi wa siasa, sifungamani na upande wowote
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 24, 2017 Thread starter #16 Numbisa said: Sawa,pia kuna majukwaa ya english only Click to expand... Numbisa kuwa mpole bhana, unaninyanyapaa
Numbisa said: Sawa,pia kuna majukwaa ya english only Click to expand... Numbisa kuwa mpole bhana, unaninyanyapaa
mlogolaje JF-Expert Member Nov 10, 2016 1,509 813 Feb 24, 2017 #17 Akikaa vizuri humu jf ataweka picha nyingine
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 Feb 24, 2017 #18 Hahahaa poa Lukumboy said: Numbisa kuwa mpole bhana, unaninyanyapaa Click to expand...
Lukumboy Member Feb 5, 2017 28 6 Feb 24, 2017 Thread starter #19 Numbisa said: Hahahaa poa Click to expand...