Wakuu,
Baada ya kutumia mitandao mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter; leo nimekuja humu JF.
Naombeni mnipe sheria za huku.
Oviaz(obviously) niko mgeni sana. Taifa langu Kenya...
Habari zenu wakuu (ndo nilivyosikia mkiitana)
Naomba mnipokee na kunionyesha mazingira ya humu, ila naomba nichague member wa kunitembeza humu naye si mwingne bali ni miss chagga.
Maana anaonekana...
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ninyi nyote wana JF. Nimejiunga rasmi jana ili nami niweze kutoa mchango wangu wa kifikra katika jukwaa hili adhimu. Naomba makaribisho na mashirikiano mema...
Wadau wa Jamii Forums habari,
Mimi ni mgeni hapa naomba kujiunga nanyi katika jukwaa hili.
Tubadilishane mawazo, tuliwazane, tuchekeshane, tuburudishane, tukosoane, turekebishane na mambo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.