Hodi humu ndani

Karibu Clara,,,

Ngoja nijumlishe namba hizi Clara+ Xav= 8
Nane ni namba inayogawanyika kwa mbili,hii ina maana kimahesabu inatakiwa itengenezwe bonge moja ya Combo,Xav and Clara..

Usiogope ni Combo ya kiushauri na kubadilishana mawazo,,yaan nakua kaka yako huku jamii forum nawe unakua dada wngu wa hiyari.. So karibu sana kwa mara nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom