Mimi mgeni kutoka Instagram

comedian

Member
Apr 30, 2017
38
51
Wakuu,

Baada ya kutumia mitandao mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Twitter; leo nimekuja humu JF.

Naombeni mnipe sheria za huku.

Oviaz(obviously) niko mgeni sana. Taifa langu Kenya.

Jina yangu halisi "makidonyo oduenga".
 
Sheria za humu utazijua mwenyewe utake usitake, hakuna atakaekwambia sheria fulani iko vipi
utakachoposti au kukomenti utaona muitikio wake kwa wanajamii wa humu, wakikusifia sawa ila wakiamua kukuponda utatamani ufunge akaunti urudi Insta.

Kuhusu utaifa hilo halina maana yoyote humu maadamu utakutana na watanzania wengi sana, si unajua wabongo hawanaga masuala ya "sisi watanzania wao ni wakenya".

Humu wote ni ndugu. Hata hivyo mimi ni m'bantu, MZILANKENDE.
 
FORUM RULES

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly


Read more...

Ukishuka chini kwa Wall utaona maneno kama haya bofya Read more utapata unachokitaka..
 
Karibu sana mkuu!Katika mitandao yote ya kijamii, hapa mimi ndipo nimefika...Naamini nawe utafaidika humu.
 
Karibu mgeni. huko ulikuwa upotevuni sasa uko chini ya mikono salama
yaah ofcoz nimeona juu ni vile kule "ig" hakuend poa people wanatalk umbea kila paali lakin hapa jf watu mnajenga hoja sana
kitu ingine nafurahishwa nayo ni majina yenye iko huku

na why mnajiita ivyo??

before mi nasign in nilikuwa naangalia majina yenye iko huku so wonderfully

ila inapendeza sana b'coz unajenga hoja na mtu pengine iko mugadishu na wewe unakuwa hujui..

hii kitu inakuwa iko very sensitive sana.....
 
Karibu sana Mgeni. Kuna ndugu zako wengi kutoka Kenya.

Wengi utawapata kwenye Jukwaa lenu huko.
Karibu mno.
 
Back
Top Bottom