Waheshimiwa,wababa zangu,wa mama zangu,wakaka zangu, wadada zangu na shemeji zangu mm humu ni mgeni naomba principal na kanuni jins ya kutumia yaani vitu gan vinatakiwa vitugani havitakiwi.
Habari wana jf? NI muda mrefu sijawahi post wala kukoment chochote humu hadi nikahisi nitakuwa blocked,kumbe bado nimo. Naomba kukumbushwa sheria na kanuni za humu nisipigwe ban,jf ndio kila...
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv Ziko 109 na Za Azam TV ziko package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia...
Naombeni mnipokee ndugu zangu, tushirikiane kimawazo katika kile takachoomba msaada wenu, na wale watakao omba msaada pia kama nina uelewa na hicho kitu tutasaidiana kimawazo. Asanteni
Napenda kukaribishwa kwa bashasha nyingi za hapa na pale.Mimi ni kijana kutoka katika mtaa maarufu kabisa hapa TANZANIA ambapo mke wa mtemi wa UNYANYEMBE alihongwa hela kwa ajili ya kutekeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.