Hodi hodi Ndugu zing

Terrible Teen

JF-Expert Member
May 1, 2017
1,006
2,930
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ninyi nyote wana JF. Nimejiunga rasmi jana ili nami niweze kutoa mchango wangu wa kifikra katika jukwaa hili adhimu. Naomba makaribisho na mashirikiano mema. Jiandaeni kupata taarifa moto moto za uvunguni.

Terrible Teen.
 
Karibu sana JF Mkuu.

Hebu tuambie wewe umebobea katika nyanja ipi? Ili tujiandae vema kusikia vya UVUNGUNI.

Karibu sana Mkuu.
 
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ninyi nyote wana JF. Nimejiunga rasmi jana ili nami niweze kutoa mchango wangu wa kifikra katika jukwaa hili adhimu. Naomba makaribisho na mashirikiano mema. Jiandaeni kupata taarifa moto moto za uvunguni.

Terrible Teen.
Kuingia na kuingia tu umeanz kwa kuchapia, ww jipu nin??
 
Wadau wezangu, hebu nielekezeni jinsi ya kuanzisha thread humu jf, sielewi kabisa naishia kuchangia tu, kwani mimi pia mgeni humu.
 
Karibu tena jf ila vipi kuhuusu ile id yako ya zamani ndo hutoitumia tena?
Afu je una mpango wa kutafuta mpenzi hum? Kuna usia nataka nikupe.
ID ya zamani ndo nini Mkuu? tafadhali naomba maelezo ya ziada mie mgeni hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom