Hello JF

Karibu...

JF Members tunaamini katika Upendo,Mshikamano,Kuambatana,Kushauriana na kutiana moyo...
.
Kusemwa na kukosolewa kupo na likikupata usinune...
. na pia humu hatutekani..
pamoja mkuu ila mimi sio bashite
 
Karibu sana Mkuu kwenye jamvi letu mwanana.

habarini wakuu wote..naombeni ushirikiano wenu tuijenge nchi....tujuane vizuri pia,nimesoma sana threads za watu nimehamasika namimi kuchangia posts mbalimbali ushirikiano muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom