Sawa mkuukaribu mkuu,,kila mtu humu ni mkuu
Kwa kunipokea, au kushukuru pia ni unafiki?unatushukuru kwa lipi mkuu?
acha unafiki!
shemejiMuramu lina maana gani?
Kwa mwanamke au mwanammeshemeji
Kwa woteKwa mwanamke au mwanamme
Asante sana mkuukaribu sana kijana
Kupitia kwa shemeji yangu aitwaye mama haambiliki aishiye mitaa ya fitoniUmeijuaje JF shemeji?
Karibu sana.
Alikuambia nini mpaka ukaona umuhimu wa kujiunga humu?Kupitia kwa shemeji yangu aitwaye mama haambiliki aishiye mitaa ya fitoni
Ninavyeti orijino kabisa kuanzia cha kuzaliwa, cha kuhitimu darasa la 7 na cha kuhitimu kozi ya ufundi magari makubwa na madogo. Pia vimethibitishwa na mahakama ya hakimu mkazi wa eneo letu.Karibu una vyeti origino lakini?kama una element za ubashite jiuzulu fasta
Ombi lako nalishugurikiaNinavyeti orijino kabisa kuanzia cha kuzaliwa, cha kuhitimu darasa la 7 na cha kuhitimu kozi ya ufundi magari makubwa na madogo. Pia vimethibitishwa na mahakama ya hakimu mkazi wa eneo letu.
Alisema kuwa humu kuna mambo mengi yanayohusu kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu.Alikuambia nini mpaka ukaona umuhimu wa kujiunga humu?
Kwa hiyo Shemeji yako katuona sisi watoto wa Darasa la pili tunaojifunza KKK?muramu said:Alisema kuwa humu kuna mambo mengi yanayohusu kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu.
Hilo sina elimu nalo ila alisema humu kuna watu wanojua kkk tu na wamepewa mamlaka ya kuongoza watu wenye Ph.D, Masters na Bachelors.Kwa hiyo Shemeji yako katuona sisi watoto wa Darasa la pili tunaojifunza KKK?