Habari zenu wakuu (ndo nilivyosikia mkiitana)
Naomba mnipokee na kunionyesha mazingira ya humu, ila naomba nichague member wa kunitembeza humu naye si mwingne bali ni miss chagga.
Maana anaonekana na mkarimu sana kabla hata sijafka.
Ila ntaomba anipeleke maeneo yote hadi kule mnapokuita PM (Sijui hata kirefu chake nini)
Ahsanteni sana kwa ukarimu wenu