Naomba niingie JF kwa mara ya kwanza Hodi!

Habarini Ndg zaangu makaka na wadada wenzangu
assalam alykum
bwana yesu asifiwe

Ndio naanza rasmi kutumia hili jukwaa naomba mnikaribishe.

asanteni
Naona umeingia saa saba usiku ndio maana ukashindwa kuwasalimia wakubwa zako.... Karibu sana JF
 
Pita reception kwanza uonyeshe vyeti vyako.!!


Karibu sana kadada.
 
Hahaha kaka mkubwa, siwezi kumuamini tu moja kwa moja mtu anasema mgeni, wakati hata uandishi wake unatia mashaka kama mzoefu humu vile.!
Nimeshamchungulia ni mgeni kweli unaweza tu kuendelea na usajili kama kafoji ID biometric yetu ile itasoma tu
 
Back
Top Bottom