Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba wadau naomba msaada,mimi mwenzenu nywele zangu zimeota pembeni ,yaani nina upara wa utosi zimeanza kuota mbaali ni dawa gani nitumie kuitibu hali hyo ili nywele...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Fursa kwa wale wenzangu na mie wenye nywele za dread locks, jamani ni dili sikuhizi zinauzwa mie nimesikia tu lakini. Nataka kuuza zangu nikipata mtu wa kufikia dau zuri...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu ni yule mpenzi wako ambae kila ukiongea nae unamuona kabisa ni yule wa kwashida na raha. Leo amekutaarifu kuwa anakukaribisha chakula kwao. Umetoa ile nguo ya mwisho kabatini ile uliyolipa...
12 Reactions
46 Replies
9K Views
Habarini wapenda mitupio.. Ni ukweli kuwa mavazi yapo ya aina na namna mbalimbali kulinganga na mahali panapositiriwa. 1.Kuna Juu zaidi (hapa ni kofia,mizula n.k) 2.Kuna katikati., (Hapa ndipo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Aya mafuta ni atari sana, nasikia ukipaka unakuwa mweupe sana. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
13K Views
India wanaamini Henna aloipaka bi harusi ikichelewa kutoka huashiria ndoa ya furaha na kupendwa na in-laws, na ikiwahi kutoka maana yake ndoa haitakua na furaha. Ukaona sababu ya kuikoleza henna...
1 Reactions
0 Replies
13K Views
Katika kukutana na kuongea kwangu na baadhi ya wadada, iwe hapa bongo na hata ughaibuni, nimeshasikia wakisema kuwa wao wanapendelea zaidi marashi [pafyumu, deodorant, na body sprays] ya kiume kwa...
5 Reactions
89 Replies
19K Views
Habarini wana Jamvi ...! Binafsi kwa sasa naishi mkoa wa Morogoro baada ya kuhamishiwa kikazi mkoa huu, nikitokea DSM.. Nimekuwa napata shida na maji ya chunvi ya mkoa huu, kiasi cha kuniondolea...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wanaume wengi Mara nyingi huwa hawajali sana suala la kuhakikisha kile anavaa kinaendana. Unakuta mtu ananunua shati, tshit au suruali bila kuplan ataimatch na nini mwisho wa siku wengi...
5 Reactions
17 Replies
11K Views
Viatu ni kinga kwa ajili ya kuhifadhi miguu. Vile vile viatu ni vazi ambalo linaongeza urembo na nakshi kwa mvaaji. Viatu vipo vya aina mbalimbali na vinavaliwa kulingana na mahali na mavazi...
4 Reactions
3 Replies
7K Views
Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike. Kwa mfano...
21 Reactions
174 Replies
54K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wapi au kiwanda kipi naweza enda wakanisaidia kunitengenezea sabuni na lotion za alovera. Nahitaji sabuni na lotion zenye kiwango kikubwa cha alovera not less than...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi wetu huwa tunaishi na wazazi na ukitoka kwa wazazi unakwenda boarding school baada ya hapo chuo na kuanza kazi. Hakuna formula moja ya maisha, kwa sababu hii na ile inabidi uishi na ndugu...
22 Reactions
93 Replies
8K Views
Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia haya mafuta, mimi ni mweusi tii, na ngozi yangu ni kavu nimejaribu kutumia aina mbalimbali ya mafuta lakini yamekua yakinikataa. Kuna mtu kanishauri nitumie...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
TRUE STORY Leo niwape tu story yangu long time kabla sijaoa. Kipindi naishi kisela Ghetoni pale sinza mapambano. Rafiki angu kipenzi nadhani mnamkumbuka yule aliekua amepatwa na maswaibu ya...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini wakuu sijui ndio hili jukwaa husika ama laa nyway moja kwa moja husika na heading yangu kiukweli dawa za nywele za sikuizi hazina ubora kabisa naomba mamlaka husika ijaribu kuzichunguza...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini ndio majukumu au nini hii. Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hiiii ndo fashoooooniiii bwana,,,, mmmh kwel hatar
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom