Habarini wakuu sijui ndio hili jukwaa husika ama laa nyway moja kwa moja husika na heading yangu kiukweli dawa za nywele za sikuizi hazina ubora kabisa naomba mamlaka husika ijaribu kuzichunguza...
Hivi inakuaje mpaka binti wa miaka ishirini kisa ndoa/au umezaa watoto wawili watatu unakuwa kama bibi wa miaka hamsini ndio majukumu au nini hii.
Maana kuna binti hapa mtaani kwetu alikuwa...
Kwa wasichana ambao wanaona kuwa maisha hayawezi kuwa matamu bila kunenepesha makalio, mapaja na matiti yao, ni busara kufanya hivyo kwa njia za asili zisizokuwa na madhara kwa afya zao. Sehemu...
1. Kama hutumii mafuta ya hiyo splash then kabla hujajipulizia kwenye hayo maeneo paka vaseline oil then spray
2. Spray after bath and before dressing
3. Ukishapulizia usiifute let it sink...
Aisee huwa sipendi kukaa kwenye daladala na mdada au mmama akiwa mabega wazi. Unakuta anakugusa kwenye bega au shati huku anatoka jasho kwapani kama chemchem. Badilikeni
Jamani leo nimeona leo niliongelee hili kuna baadhi ya wadada tunatiana aibu unakutana na mdada shughurini /njiani tena mchana amejipodoa kama kinyago amepaka poda sio ya rangi yake mwenyewe...
Calisah....anadai hakuna shida kama amelamba mkwanja mkubwa yeye hizi maviatu anavaa tu. Na kama nawe wataka kutangaza bidhaa za hivo weka mkwanja mezani biashara itakwenda bila shida yoyote. Haya...
Kuna aina nyingi za mapambo yanayotumika katika kupendezesha nyumba zetu. Aina mojawapo ni maua halisi (natural flowers) ambayo huleta muonekano mzuri, uhai na harufu ya kuvutia.
Ili kuweza...
Nimekuwa natatizwa sana na nyaraka za serikali kuhusiana na mavazi, hususani Waraka wa Utumishi Na. 1 wa mwaka 1971 unaohusu mavazi ambao ulitokana na mwongozo uliotolewa na Chama cha TANU kuhusu...
Kabla hujaanza kujihusisha na mambo ya makeup ni vitu vingi sana unakuwa hujui na nadhani kuwa bado wapo wale wasiojua utaratibu wa makeup vizuri, kama vile makeup products au makeup tools..na...
Jamani katika vitu vinavyonikela sana ni jinsi ya kutoa nywele za makwapani yaani ni shiidaaa kuna kitu kingine nje ya mkasi ama wembe kuondoa nywele za makwapani? kutumia wembe ni hatari...
Loweka miguu inayopasuka kwenye maji ya uvuguvugu na yaliyoongezewa sabuni
Kisha loweka miguu kwa muda wa dakika 10 hadi 15 hivi kwenye mchanganyiko wa asali kikombe kimoja ndani ya galoni moja...
Ndani ya nyumba kuna meza za aina nyingi kama vile meza ya kahawa, meza ya kwenye korido, meza ndogo za pembeni mwa makochi na pembeni mwa kitanda bila kusahau meza ya kuvalia na pia wapo baadhi...
Habari za majukumu wana jf.
Kama title inavojieleza, naombeni ushauri wenu kuhusu rangi nzuri za kupaka milango na madirisha ya nyumba.
Natanguliza shukrani kwenu.
Mambo vipi wadau,
Huwa napenda sana muonekano wa mtu alie na dreads, imefikia hatua nashawishika na mimi kuweka dreads kichwani.
Ila napenda kufahamu mtazamo wa watu kuhusu dreads kwa wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.