Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari zenu , Mim naomba kujuzwa jinsi gani wanavyopaka "makeup" hawa warembo wetu wa Tz, na ni vitu gan haswa unatakiwa uwe navyo mf.foundation na vingine ambavyo mnajua wataalam wa sekta ya...
1 Reactions
57 Replies
36K Views
Sweeties, nataka kuweka curl kwenye nywele zangu nina nywele ndefu zenye dawa ila mbele na nyuma zimekatika sana na sasa hivi zimeotea balaa, so nina mpango wa kuzipunguza ziwe saizi ya kitana...
0 Reactions
10 Replies
25K Views
Urembo na Mapambo Bangili, hereni na mikufu unayoitumia mara kwa mara vinafaa vitundikwe kwenye stand maalumu mahali panapofikika kiurahisi mfano juu ya dressing table ili iwe rahisi kuvichukua...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau na Wajuzi wa fasheni mavazi gani stahiki kwa wanamume wafuatao kulingana na hali zao( kwa mfano aina mavazi na ranging zake n.k) a) Mtu mwanamume mrefu mweupe b) Mtu mwanamume mrefu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bila shaka kabati la vyombo ndio fenicha kubwa zaidi kwenye chumba chako cha chakula ikifuatiwa na meza, kwa maana hiyo linachukua nafasi kubwa zaidi ya muonekano wa chumba hicho. Kwa kawaida...
6 Reactions
7 Replies
31K Views
Habari zenu, Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu? Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
1 Reactions
46 Replies
15K Views
Ulishawahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha...
2 Reactions
8 Replies
10K Views
Wiki ijayo nina harusi wadau, nataka kuutoa au kuupunguza ule weusi wa kunyoa ndevu mashavuni na shingoni kwa njia za asili maana "scrub" za kizungu za viwandani hazinisaidi wakuu na mimi nataka...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Jamani kupendeza na kushine ni jambo la kila mwanadamu, Najua humu jf watu muna experience na lotion mbali mbali .JE ni losheni gani kumfanya mwanamke ashine na ipi nzuri kwa mwanaume
0 Reactions
80 Replies
67K Views
HERENI ni pambo linavoliwa masikioni na kwa kiasi kikubwa linachangia kuongeza mvuto na muonekano mzuri. Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zipo ambazo hutengenezwa kwa...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Wigi huvaaliwa zaidi na wanawake wenye asili ya Afrika au Wamarekani wa saili ya Afrika. Chimbuko halisi la uvaaji wigi ni ubaguzi uliokuwepo wakati wa utumwa ambapo wale wenye ngozi nyeupe na...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wachambuzi wa mambo ya saikolojia wanasema kwamba kwa kuchukua tai na kulivaa ile rangi ndiyo itakayoweza kupeleka ujumbe wa wewe unataka nini au unataka watu wakutambue kwa namna gani. Wakati...
5 Reactions
7 Replies
13K Views
Ni mafuta aina gani ni mazuri kwa kulainisha ngozi na yasio na madhara?
1 Reactions
22 Replies
17K Views
Habari zenu Naomba leo tuambizane ni mafuta gani au dawa gani unayoitumia pindi unapoa ndevu au sehemu za siri na kukufanya ngozi yako ibaki nyororo isiyo na vipele Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wanajua kutengeneza magauni ,,,halaf kama linatisha hiviii au macho yangu tu
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Habari JF, Ninaishi sehemu kunakopatikana maji ya chumvi kwa wingi, ni eneo nililohamia hivi karibuni. Nilichogundua ni kwamba maji haya yakitumika kufulia nguo huwa zinapoteza ule umaridadi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa bei ya hyo facial wash na alie wahi kuitumia ani juze kama ni nzuri hasa kwa oily skin
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Hii nimeishuhudia sana Arusha hasa sehemu za Tengeru kwenda mbele. Utakuta mama kaualamba vizuri kweli mfano gauni zuri, au dila, su sketi ndefu nzuri au suruali pana ya heshima. Utakuta...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom