Aina za Mitoo na Foronya Ya Njee Ya Nyumba!
Mitoo ya njee haina utofauti na ile itumikayo ndani ya nyumba kwa matumizi tofauti; Kwa mfano, matumizi ya chumbani kwa kulalia, sebuleni kwa kuegemia...
Habari! wakuu naweza pata maelekezo ni wapi naweza pata makeup kit kwa hapa Dar ni maduka yapi hasa,huyu mtu anayehitaji hii kitu ni beginner ko ni vitu vipi essential zaidi anahitajika asivikose...
Wajameni naombeni mnijuze mafuta mazuri ya kumpakaa mtoto wa miez nane na kuendelea sehemu ya baridi,maana olive oil mepes so anapauka parachute nayo hivohivo vaseline yamemgomea yalimtoa rashes.
Habari zenu wana JF
Jamani mwenzenu Kuna Tusuruali twangu tutatu tweusi tunazidi kupauka...
Nataka ziwe nyeusi zing'ae Kama zamani...
Nifanyaje eti [emoji27] [emoji27] [emoji27]
kwa warembo wa jf naomba mnieleke namna ya kufanya steaming kwa njia ya kienyeji bila kutumia yale makemikali!
msaada tafadhali,nataka nimpendezeshe wifi yenu naturally.
Usafi umekuwa mtihani kwa watu wengi , kwa kifupi sio kila mtu anaupenda usafi, ukikutana na mtu msafi basi ni hobby. Sikuwahi kujua kama usafi inaweza kuwa hobby ??? Kitu ambacho ni lazima...
Aiseeeee
Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa
Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu...
Wakuu nadhani mko poa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii.
Kama ujanipata hebu...
Jamani hili halipo kwa ma barmaid au Dada zetu wanaotoka familia duni. Lipo kwa Dada zetu hasa wanaofanya kazi katika makampuni makubwa na wana nafasi ambazo pasi shaka zinawaingizia kipato...
Hali zenu.
Jukwaa hili katika thread hii ntakua napost urembo wa asili ambao natumia na naendelea kutumia na pia ukanisaidia,hope pia na nyinyi utawasaidia,na ningeomba mirejesho ili nijue...
Jana nimemuona kijana mmoja ninayemuheshimu akiwa amevaa suruali iliyochanika chanika kwenye magoti nikasikitika sana.
Nikajikuta najisemea kuwa huyu naye kafirisika kimtazamo?
Sasa nimejua ni...
Habari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza
Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha...
Habari zenu wana janvi?.
Hivi Mwnaume uson usipokuwa na ndevu au sharubu walau kidogo unajichkuliaje.!!?.
Binafs nilishajarib mara kadhaa bila ya ndevu lakin nilijiona tofaut mno.
Nahsi mtoto wa...
Wanaume wanalalamika sana kuhusu jinsi wanawake tunavyopaka makeups zetu. Na hizi colour combo ndio kabisaaa...Maybe huwa tunafanya makosa bila kujua. Jaribu kuzingatia yafatayo ukiwa unajiandaa...
Mambozi dears, for the first time nataka nijaribu lace wig lakini naona mostly zimesukwa mbili kichwa au kubana kidoti, ina maana ukiliachia tu bila kubana au kusuka halipendezi?
Mwenye picha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.