Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
  • Redirect
Waungwana, Naomba kujuzwa ni namna gani ya kutunza nywele maana napenda nywele zisiwe ndefu sana ziwe nyeusi, kung'aa na zenye kunawiri ila nashindwa sababu sijui nitumie mafuta gani au kitu gani...
1 Reactions
Replies
Views
Ukifika saloon ya kiume, baada ya kupata huduma ya kunyoa, massage na scrub ni huduma gani nyingine ya muhimu ungependa kuipata nje ya hizo juu?
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Hii kitu kwangu naonaga "shoti" kweli unavaage viatu bila soksi? Unakuta mtu ameulamba suit na moka lakini hajavaa soksi. Huwa naona ni sawa na kuvaa suruali bila boksa.
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Hazinyolewiiiii
22 Reactions
256 Replies
20K Views
Habari wakuu, Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua...
5 Reactions
71 Replies
2K Views
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahidi angalau mfue boxer zenu kila Siku, nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu. Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi boxer zenu na...
23 Reactions
232 Replies
33K Views
Wanaume wenzangu hivi huwa mnabadilisha boxer zenu mara ngapi kwa wiki? Au mpaka itoe kile kiharufu cha ubeberu...
8 Reactions
188 Replies
12K Views
Habari zenu, Nimejaribu kufanya utafiti kidogo nikagundua asilimia kubwa ya wanaume wanaovaa SAA za mkononi huwa hazisomi majira. Sasa hii inaumuhimu gani wa kuvaa kitu ukaonekana mtanashati...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
11 Reactions
364 Replies
46K Views
Wanaume wanalalamika sana kuhusu jinsi wanawake tunavyopaka makeups zetu. Na hizi colour combo ndio kabisaaa...Maybe huwa tunafanya makosa bila kujua. Jaribu kuzingatia yafatayo ukiwa unajiandaa...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Huu ni ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu. Kama wewe ni mwanaume mfupi na pia mnene, vazi la suti halikufai, achana nalo, vaa tu kanzu au kaunda suti uende kwenye mtoko wako. Vazi la suti liko...
9 Reactions
72 Replies
15K Views
Tupo kiwanja na wana tunamalizia weekend. Kaja jamaa kaongozana na mrembo mzuri tu lakini alivyokuja kutusalimu hiyo harufu ya kinywa ni balaa. Mwana katutambulisha jamaa katoka mkoani. Ni hayo...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau, Kuna hili jambo nimeliona siku hizi kwa rika flani la wanaume unakuta mtu akitembea makalio yanacheza utafikiri ya mwanamke.Unakuta kijana kachomekea vizuri shati lake sasa ngoja aanze...
11 Reactions
106 Replies
17K Views
Kuongezeka kwa wanaume wanaofanya scrub, mask, wanaoweka wave ni kihashiria tosha sasa wanawake wamepata washindani. Sijambo lakushangaza kumkuta mtoto wa kiume, mwanaume amevaa jeans iliyobana...
7 Reactions
124 Replies
13K Views
Leo nimekutana na kituko cha mwaka aisee, nilikuwa maeneo ya Sinza napata chakula cha mchana ghafla jamaa akaja na mtu anakibeg mgongoni akakaa kwenye kitu huku wakiangaliana. Baada ya muda...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu. Wataalam wanasema mwanaume angalau uwe na hata jozi moja ya suti kenye kabati lako la nguo. Ni ukweli usiopingika kua suti humfanya mtu alieivaa kuonekana wa tofauti ila watu...
4 Reactions
135 Replies
92K Views
Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na...
20 Reactions
164 Replies
8K Views
Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje? Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa...
13 Reactions
139 Replies
4K Views
Habari, Jamani nawakumbusha wanaume kuoga mvua isiwe kikwazo cha nyie kutokuoga, ikaja kuwa kivumbi huku maofisini kwa harufu za perfume zilizochanganyika na kutokuoga. Yes i know wengi mta-take...
5 Reactions
163 Replies
31K Views
Back
Top Bottom