Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahidi angalau mfue boxer zenu kila Siku, nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi boxer zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.
 
Enyi wanaume acheni uchafu, jitahid angalau mfue boxer zenu kila Siku , nyoeni makwapa na kwenye madushe yenu.

Harufu mbaya mnayotoa tuwapo faraghani ni matokeo ya kutofua hizi chu..pi zenu na kutonyoa hayo manyoa sehemu zenu za kujificha.

Uhandsome ni pamoja na usafi.

Ipo Lugha nzuri ya Kumshawishi mtu na akakuelewa kuliko ufanyavyo humu jamvini.Mimi nadhani namana bora ya kumsaidia mtu ni kumueleza ukweli pale tu ulipomuona katika hali hiyo unayoisemea.

Kama mtu ananuka kikwapa,Hanyoi nywele katika sehemu za siri,Hafui mavazi yake nk,Zipo hatua za kuchukua ili uweze kumbadili mtu huyo na siyo kusema Enyi wanaume!!!

Next time usitujumuishe,Mlenge mhusika na utakuwa umeokoa jahazi kwa baadhi yetu tusio wastaarabu kwa usafi wa Mavazi pamoja na Miili yao.

Ungetulenga wote,Wake kwa waume.Kwani ninyi wanawake wote ni wasafi wa Mavazi,Miili nk??
 
Ha ha ha duh! inaelekea hao wanaume si wapenzi wako ndo mana umeona ni tatizo, kama ingekuwa ni mpenzi wako, ungemny'oa kote, na kumtia manukato mpaka huko unakolalamika kunanuka, ukimfanyia hivyo mara 2 au 3 atajua kuwa anatakiwa awe hivyo, nunua kabsaa mashine na vijimanukato vyakupaka, ukiondoka viache kwake....lakini kama uliamua kumpotezea usitake tuamini ni mchepuko tu.
 
Naanzaje kulinyoa baba zima na ndevu zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom