Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Fanya mambo yafuatayo ili hali hiyo isitokee tena. √ kata nywele sehem za siri, kisha chukua maji ya ukoko wa ugali unawie sehem hizo zinazonuka( hakikisha unafanya hivi ukiwa umeoga) fanya Mara...
3 Reactions
45 Replies
13K Views
Wapendwa mambo zenu Natumai kila mtu yuko poa Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda...
3 Reactions
62 Replies
16K Views
Habari wakuu hamjambo najua kwa wanaume yashawatokeeni saana unakuta mwanamke anabonge la mzigo akipia watu macho kodoo. Binafc kuna manzi nilimfukuzia kama mvua mbili ananizungusha tuu. Siku...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Mamboz, Mimi ni mpenzi sana wa matte liquid lipsticks na kuna duka linajulikana sana ndo huwa nanunua hapo Week iliyopita nilitoka kununua hizo lipsticks na sikuzitumia, sasa leo nikachukua moja...
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Na tusikie dada/mwanamke akilialia eti hana bwana au maisha magumu au sijuwi ni kule... Kuna wenzake wana shida kule yeye lakini wana enjoy life tu, pamoja na majanga ya kutisha kimaisha...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Rihanna akiwa katika mavazi yake. Dada zetu Mkiiga haya hakika tutachukua bakora na kuwatandika mabarabarani. Hakuna haki kama hii Tanzania.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Miss Tanzania, Lilian alivaa vazi hili huko Marekani, Las Vegas. Maelezo ya picha hii yanasema vazi hili ni bora (the best) kwa kuwakilisha utamaduni wa Mtanzania. Wanamitindo mnisaidie.
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kuna style nyingi za kunyoa hasa kwa wanaume, miongoni ni kiduku na upara Kati ya hizi style ipi ni nzuri na ya kiheshima katika jamii, maana style zingine kama kiduku akinyoa mtu unaweza...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Heri, Nakiri kua nina yapenda sana maji kupita kiasi. Naweza kuoga hata mara 6 kwa siku. Sipendi jasho hivyo huni fanya nioge mara kwa mara. Sasa basi kuna dhana kua " uki oga mara kwa mara...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Skwati (squats) ni moja ya mazoezi mepesi na muhimu kwa mwili wa binadamu. Aina hii ya mazoezi ni nafuu na salama yasiyo na gharama yoyote na yanayoweza kufanywa nyumbani na bila mahitaji ya vifaa...
2 Reactions
8 Replies
27K Views
Ni wachache sana wanabahatika kuwa navy usoni...ni vidude flani vigumu vyeusi umbo dogo kama punje ya mtama. Wengine vyao huwa vikubwa..kama jokate kidoti. Nini maana ya hivi vidude? Vina uspesho...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini...
4 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu nataman sana kufuga rasta fulani ivi zisiwe ndefu sana ziwe fupi kiasi afu nywele zisiwe nyekundu zionekane nyeusi na rasta zakusimama Ninanywele ngumu sana za kisinga singa afu huwa...
2 Reactions
1 Replies
7K Views
Wadau wa Ujenzi zone blog kuna vitu tunavipuuzia kwa kuhofia gharama au kwa kutokujua. Kwa mtazamo wangu kama umeweza jenga nyumba ya milion kadhaa basi bado hautashindwa kuipendezesha kwa frem za...
2 Reactions
5 Replies
21K Views
Habari zenu warembo na watanashati, Mimi naombeni msaada wenu. Nimetoboa masikio yapata wiki ya pili sasa. Nilitoboa kwa sonara na nikapewa na vihereni orijino vyenye mchanganyiko wa dhahabu na...
0 Reactions
16 Replies
30K Views
Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni...
1 Reactions
11 Replies
19K Views
Aina za Mitoo na Foronya Ya Njee Ya Nyumba! Mitoo ya njee haina utofauti na ile itumikayo ndani ya nyumba kwa matumizi tofauti; Kwa mfano, matumizi ya chumbani kwa kulalia, sebuleni kwa kuegemia...
3 Reactions
1 Replies
10K Views
Uzi huu utakuwa maalum kwaajili ya kutupia picha za marastafarian na mitindo mbalimbali ya dreadlocks
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari! wakuu naweza pata maelekezo ni wapi naweza pata makeup kit kwa hapa Dar ni maduka yapi hasa,huyu mtu anayehitaji hii kitu ni beginner ko ni vitu vipi essential zaidi anahitajika asivikose...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wajameni naombeni mnijuze mafuta mazuri ya kumpakaa mtoto wa miez nane na kuendelea sehemu ya baridi,maana olive oil mepes so anapauka parachute nayo hivohivo vaseline yamemgomea yalimtoa rashes.
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…